Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Kwa Mujibu wa CCM na Magufuli na Uhamiaji ya wakati ule Kadi ya CCM tu inatosha.Wakuu Najua Hii Forum Ya JF Ina Wababezi na Wataalamu Wengi Sana, Hivi Ni Nyaraka gani huthibitisha uraia wa Mtanzania?. Je cheti Cha Kuzaliwa Ni Nyaraka mmojawapo ya Kuthibutisha Urai Wa Mtanzania.??
Usisahau na kadi ya clinic ya mama yako a,mbayo huonyesha zahanati ama hospitali uliyozaliwa.
Hata uhamiaji wenyewe naamini hawatakupa majibu kwa sababu hawana jibu wala nyaraka ya namna hiyo.Wakuu najua Hii Forum Ya JF Ina Wababezi na Wataalamu wengi sana. Hivi Ni Nyaraka gani huthibitisha uraia wa Mtanzania?.
Je, cheti cha kuzaliwa ni nyaraka mmojawapo ya kuthibutisha urai wa Mtanzania?
Hivyo vyote ulivyovitaja vinatolewa kwa lengo maalumu kama uthibitisho wa kuzaliwa na makazi, lakini hakuna nyaraka rasmi inayothibitisha uraia wa Mtanzania.Cheti cha kuzaliwa, kitambulisho cha uraia, kitambulisho cha NIDA, pasi ya kusafiria.
Kuna tangazo la kuzaliwa na cheti cha kuzaliwa, ni vitu viwili tofauti.Kwetu Zanzibar ukizaliwa tu unakuwa Mzanzibari kwanza kwani sheti uwe na ZAN ID kisha huko mbele ndio unakuwa Mtanzania bila ya kikwazo.
kweli mkuuHivyo vyote ulivyovitaja vinatolewa kwa lengo maalumu kama uthibitisho wa kuzaliwa na makazi, lakini hakuna nyaraka rasmi inayothibitisha uraia wa mtanzania.
Hata mi nmewaza hivyo.Hata uhamiaji wenyewe naamini hawatakupa majibu kwa sababu hawana jibu wala nyaraka ya namna hiyo.