Je yawezekana CCM wamekwisha pata mbinu ya kushinda hata kama hizo nyaraka (waraka wa wakristo na ule wa waislamu) zitafuata? Walipokuwa wanapiga kelele walikuwa hawana mbinu? Au ni namna ya kuchota mawazo ya dini zote mbili? Maanake JK alikwisha sema asilimia kubwa ya watanzania ni bendera fuata upepo!