Nyaraka za Nangwanda Lawi Sijaona: Sijaona na Nyerere Wakiazimana Vitabu

Hapo anamuandikia Lawi barua ya kibinafsi,si ya kiofice.
Barua katumiwa waziri wa mambo ya ndani toka Ikulu, ikihusiana na namna ya kupanga mpango bora wa maendeleo wa miaka mitano. Hakuna cha binafsi hapo.

Ingekuwa ya binafsi cheo cha Lawi kisingeandikwa hapo.
 
Mzee Mohamed Said, hongera sana baba. Wewe ni hazina kwa Taifa. Maarifa yako ni ya muhimu sana kwa kizazi cha sasa na kijacho.
 

Vitabu vyako sio alfa na omega kwenye historia ya nchi hii hasa ukizingatia umeviandika chini ya msukumo wa illusions zako.
 
Vitabu vyako sio alfa na omega kwenye historia ya nchi hii hasa ukizingatia umeviandika chini ya msukumo wa illusions zako.
Jiwe...
Umesema kweli hakika vitabu nilivyoandika si mwisho waandishi wengine wanaweza wakaandika kuhusu somo nililoandika ikiwa wataona ipo haja ya kufanya hivyo.

Sina kitabu nilichoandika kwa kusukumwa na chembelecho, "illusions."

Vitabu vyote nimeandika baada ya utafiti.

Angalia kitabu cha maisha ya Abdul Sykes.

Mimi ndiye niliyefungua historia mpya ya TANU na uhuru wa Tanganyika na kuwapa wanafunzi wa historia historia ambayo haikuwepo kabisa.

Kitabu kimependwa kwa ule ukweli wake.

Kingekuwa ni kitabu kilichoandikwa kwa fikra za njozi kisingepata umaarufu huu uliopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…