LGE2024 Nyarugusu, Kigoma: ACT wamuombea kura mgombea wa CHADEMA

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Upinzani wakifanya hivi kwenye maeneo ambayo wagombea wa chama kimoja wapo wameenguliwa watafanikiwa kuwazidi CCM?

====

1732371257307.png

Naibu Waziri Kivuli wa Viwanda na Biashara wa Chama cha ACT-WAZALENDO, Ndugu Julius Massabo akimnadi Ndugu Maisiana Damasi; ambaye ni mgombea Uenyekiti kwa tiketi ya CHADEMA katika Kijiji cha Nyarugusu, kata ya Kizazi, jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma.

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
 
kwa miradi iliyowekwa na serikali,upinzani kigoma wanapoteza muda tu!
 
Wakuu,

Upinzani wakifanya hivi kwenye maeneo ambayo wagombea wa chama kimoja wapo wameenguliwa watafanikiwa kuwazidi CCM?

====

Naibu Waziri Kivuli wa Viwanda na Biashara wa Chama cha ACT-WAZALENDO, Ndugu Julius Massabo akimnadi Ndugu Maisiana Damasi; ambaye ni mgombea Uenyekiti kwa tiketi ya CHADEMA katika Kijiji cha Nyarugusu, kata ya Kizazi, jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma.
ACT hapa ni CCM B au CHADEMA B?
 
Back
Top Bottom