Wakuu,
Upinzani wakifanya hivi kwenye maeneo ambayo wagombea wa chama kimoja wapo wameenguliwa watafanikiwa kuwazidi CCM?
====
Naibu Waziri Kivuli wa Viwanda na Biashara wa Chama cha ACT-WAZALENDO, Ndugu Julius Massabo akimnadi Ndugu Maisiana Damasi; ambaye ni mgombea Uenyekiti kwa tiketi ya CHADEMA katika Kijiji cha Nyarugusu, kata ya Kizazi, jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma.