Nyasi za bandia zimekwama bandarini

Nyasi za bandia zimekwama bandarini

mtoto wa maskini

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
1,152
Reaction score
637
FIFA utoa kila mwaka $500k kwa Tanzania na wakufunzi wa makocha/marefa.

Safari hii wametoa pamoja na nyasi za bandia cha ajabu nyasi eti zimekwama bandarini kwa ushuru eheee ivi tumerogwa? Yani tunashindwa kujisaidia sisi wenyewe kwa kuondoa VAT?

Yani vitu vya maana na vinavyogusa jamii kubwa tunajifanya kukomaa na VAT ila vitu vya kifala mnaacha VAT duh au mpaka muongwe?

Pole Tanzania yangu maana utaendelea kuwa kichwa cha mwenda wazimu!
 
Tanzania chini ya ccm hakuna kinachowezekana!dawa ni kuifuta ccm ktk ulimwengu
 
Ccm bado IPO sana tu utaaga dunia utaiacha ikiongoza tz
 
Hata washabiki wengi Wa chadema ni vilaza na wajinga
 
namkumbuka yule miss wa bukoba aliyefiwa mama yake kwenye ajali ya mv bukoba, aliwaletea msaada wa life jacket bandari ya bukoba serikali ikamwambia alipie kodi, yaani nikuletee msaada unidai kodi wakati kitu chenyewe kinakusaidia wewe.
 
CCM wameshindwa kulipia hizo nyasi hivyo viwanja vingi si wanaviita ni mali ya CCM?
 
Ndo maana tunasema soka na michezo kwa ujumla vinadidimizwa na serikali hapa Tz. Yaani majani mmepewa bure yameletwa nchini mwenu mkapewa bure bado tu mnajifanya kutaka na pesa waendelee kuwapa ...sasa wizara ya michezo na kuwepo na Nkamia wanaendelea kuwepo katika hiyo wizara kwa kazi gani hasa? ..yaani viongozi nchi hii kama mazombhi
 
wacheni kulaumu bure serikali angalieni tff walivyohamisha ofisi karume wakaenda kupanga na kulipa mamilioni pia wamekatisha mikataba ya kim poulsen na nooj wanalipa mamilioni hizo nyasi bandia ni shilingi ngapi nitakuwa wa kwanza kuipinga serikali kama itatoa msamaha wa nyasi bandia
 
FIFA utoa kila mwaka $500k kwa Tanzania na wakufunzi wa makocha/marefa.

Safari hii wametoa pamoja na nyasi za bandia cha ajabu nyasi eti zimekwama bandarini kwa ushuru eheee ivi tumerogwa? Yani tunashindwa kujisaidia sisi wenyewe kwa kuondoa VAT?

Yani vitu vya maana na vinavyogusa jamii kubwa tunajifanya kukomaa na VAT ila vitu vya kifala mnaacha VAT duh au mpaka muongwe?

Pole Tanzania yangu maana utaendelea kuwa kichwa cha mwenda wazimu!
Nchi haiendeshwi hivyo mkuu, kila kitu mkisema visamehewe kodi, hatufiki, we mbona hulioni hilo la ofisi za tff kuhamishiwa posta, na kulipa pango la karibu milioni 15!!!kwa mwezi, FIFA, waliwaambia warudi kule karume, wakagoma!! Mbowe na NASARI, waweleta magari ya ambulance, wamekataliwa kusamehewa kodi, na ni vitu ambavyo vina faida moja kwa moja kwa watz, eti nyasi bandia!!! na sio nyasi bandia tu, wao tff wanataka vifaa vyote vya michezo vipate msamaha kwa kodi!! huu si ujinga?? eti ndio vinakwamisha kukuwa kwa michezo nchini!!!. pesa unazotumiwa na fifa ni marufuku kukaguliwa na serikali, huku unasema sina pesa za kulipia vifaa, pesa zote ni kwenye posho na safari.NASEMA WALIPE TU KODI.
 
Nchi ya mazombwi visasi na kukomoana .. tutaendeleaga tu Yesu akirudi.
 
Back
Top Bottom