mtoto wa maskini
JF-Expert Member
- Jun 28, 2013
- 1,152
- 637
Ccm bado IPO sana tu utaaga dunia utaiacha ikiongoza tz
Nchi haiendeshwi hivyo mkuu, kila kitu mkisema visamehewe kodi, hatufiki, we mbona hulioni hilo la ofisi za tff kuhamishiwa posta, na kulipa pango la karibu milioni 15!!!kwa mwezi, FIFA, waliwaambia warudi kule karume, wakagoma!! Mbowe na NASARI, waweleta magari ya ambulance, wamekataliwa kusamehewa kodi, na ni vitu ambavyo vina faida moja kwa moja kwa watz, eti nyasi bandia!!! na sio nyasi bandia tu, wao tff wanataka vifaa vyote vya michezo vipate msamaha kwa kodi!! huu si ujinga?? eti ndio vinakwamisha kukuwa kwa michezo nchini!!!. pesa unazotumiwa na fifa ni marufuku kukaguliwa na serikali, huku unasema sina pesa za kulipia vifaa, pesa zote ni kwenye posho na safari.NASEMA WALIPE TU KODI.FIFA utoa kila mwaka $500k kwa Tanzania na wakufunzi wa makocha/marefa.
Safari hii wametoa pamoja na nyasi za bandia cha ajabu nyasi eti zimekwama bandarini kwa ushuru eheee ivi tumerogwa? Yani tunashindwa kujisaidia sisi wenyewe kwa kuondoa VAT?
Yani vitu vya maana na vinavyogusa jamii kubwa tunajifanya kukomaa na VAT ila vitu vya kifala mnaacha VAT duh au mpaka muongwe?
Pole Tanzania yangu maana utaendelea kuwa kichwa cha mwenda wazimu!
Hata washabiki wengi Wa chadema ni vilaza na wajinga
Sasa hii inauhusiano gani na nyasi za bandia?
Hii nchi ilivojaa majizi usikute hata kuna jizi limepeleka kwake kuweka kagarden ka bandia