Nyau

Nyau

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Kwenye miaka ya 80 kulikuwepo jambazi lililokuwa linaitwa Nyau.

Mnalikumbuka hili jambazi? Sasa hivi liko wapi?

NB: Sweetlady huwezi kulijua hili li Nyau. Wewe bado ulikuwa ka baby.
 
Alivuma sana..

Sijui alikuwa wa Kariakoo vile...

Tukumbushane NN...
 
Miaka hiyo majambazi yanakuja na Fatuma, afu yanakuja kuiba kabati, viti, vitanda, magodoro utadhani mtu anahama.

Na mkizubaa yanakula msosi wote.
 
Mi nilikuwa namjua jambazi hamisi miaka ya 70, nasikia alizamia marekani. Sijui bado yupo hai!!
 
Sanjari na Nyau, palikuwepo pia na Ngosha , na "Jambazi mtemi" Rajabu Mgogo ambae aliuwawa kwa kupigwa risasi na Polisi nje pale ya Ukumbi/Bar ya Amana Ilala, sina hakika napaswa nimpe RIP mtu sampuli hii .
 
Rajabu Mgogo namkumbuka sana na ile shootout yake na polisi ilishika sana wakati ule.
 
Sanjari na Nyau, palikuwepo pia na Ngosha , na "Jambazi mtemi" Rajabu Mgogo ambae aliuwawa kwa kupigwa risasi na Polisi nje pale ya Ukumbi/Bar ya Amana Ilala, sina hakika napaswa nimpe RIP mtu sampuli hii .

mme ulihadithiwa au ulikuwepo?
 
Sanjari na Nyau, palikuwepo pia na Ngosha , na "Jambazi mtemi" Rajabu Mgogo ambae aliuwawa kwa kupigwa risasi na Polisi nje pale ya Ukumbi/Bar ya Amana Ilala, sina hakika napaswa nimpe RIP mtu sampuli hii .

J kumbukumbu zako ni noma..
 
Yaani kuwa nyu memba shida, watu wanakupita tu kama hawakuoni lol
Nimechoka kuwa lonenly, natafuta mke wa kusredi naye.

Labda hata mtu akifa inakuwa hivi, anawafuata ndugu zake yeye anawaona kumbe wenyewe hawamuoni. akiwasemesha wanampita tu.

Mmmmh, shida sana
 
Wewe ni Kongosho?
 
Back
Top Bottom