Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hahahaha!
Wacha niwe msomaji...
Mi nilikuwa namjua jambazi hamisi miaka ya 70, nasikia alizamia marekani. Sijui bado yupo hai!!
Sanjari na Nyau, palikuwepo pia na Ngosha , na "Jambazi mtemi" Rajabu Mgogo ambae aliuwawa kwa kupigwa risasi na Polisi nje pale ya Ukumbi/Bar ya Amana Ilala, sina hakika napaswa nimpe RIP mtu sampuli hii .

Alikuwa jambazi sugu?
Sanjari na Nyau, palikuwepo pia na Ngosha , na "Jambazi mtemi" Rajabu Mgogo ambae aliuwawa kwa kupigwa risasi na Polisi nje pale ya Ukumbi/Bar ya Amana Ilala, sina hakika napaswa nimpe RIP mtu sampuli hii .
Ulishawahi kulisikia?
mme ulihadithiwa au ulikuwepo?
Sijawahi NN..
Hahahaha! Ulikuwepo au ulisimliwa?...eti miaka ya 70 lol.Mi nilikuwa namjua jambazi hamisi miaka ya 70, nasikia alizamia marekani. Sijui bado yupo hai!!
Wewe mwenyewe nahisi hukuwepo, labda kakusimulia Ngabu Senior lol.Heheheheeeee ka baby wewe.
Yaani kuwa nyu memba shida, watu wanakupita tu kama hawakuoni lol
Nimechoka kuwa lonenly, natafuta mke wa kusredi naye.
Labda hata mtu akifa inakuwa hivi, anawafuata ndugu zake yeye anawaona kumbe wenyewe hawamuoni. akiwasemesha wanampita tu.
Mmmmh, shida sana
Unamwita LIVE on stage!! kweli mapenzi moto baridi.
Huyu atauwa alisimuliwa darasani.