Nyau

NN, umeniharibia siku! Umenikumbusha boifrendi wangu nyau, enzi zile alikuwa ananipa magood time maskini! Nilikuwa natembelea ford escort mie, mtaa mzima na matrafiki wote wananijua! Haina hata sight mirror by default!
Sahivi yuko wapi? Pole kwa kukumbushwa machungu.
 
Amy we ushamsikia? Haukuwa ka baby enzi hizo?

Nshamsikia sana huyo mtu.. Halafu NN ujue unatakiwa unipe shkamoo.. Enzi hizo za jambazi nyau mi nafanya biashara ndogo ndogo mitaa ya k/koo.
 
Nakusamehe bure, kukimbiwa na bwana ukiwa na mimba changa si mchezo.
Afu wewe mgeni wewe! Nna wasiwasi nitonye kahamia kwako manake nimejikausha kweli watu wasijue kama nimekimbiwa ila wewe ushajua!

Suali ni je umejuaje?
 
mme ulihadithiwa au ulikuwepo?

Mamaa ya Boma wakati huo na mie mdogomdogo nasoma Mgulani Primary! Sasa shangaa home Ilala mtaa wa Bukoba , nearest Habibu Punja Primary,
lakini mie Mzee akanipeleka huko! Hadi leo sikuwahi kuelewa alichonipelekea chungu ya maili, wakati wanafunzi wa Habibu Punja wakipiga kelele home tunawasikia.
Back to mada : NN Miaka hiyo pia pakajaga na Maging Star au vikundi vya Kihalifu , unawakumbuka KIBOKO MSHELI ? kwa Dar.
BLACK SEPTEMBER kwa Dodoma?
Mfano wa makundi ya aina hii kwa nchi jirani ya Kenya ndiyo matokeo ya kundi la Mungiki ambalo liko active hadi leo.
 
he he he, pole samaki pole *2
amekupara magamba pole samaki pole.

Afu wewe mgeni wewe! Nna wasiwasi nitonye kahamia kwako manake nimejikausha kweli watu wasijue kama nimekimbiwa ila wewe ushajua!

Suali ni je umejuaje?
 
He he he, tusichoshane mwenyeji kwa mgeni.
Wacha nijiupyoryotooo, nasepa zangu kabla hamjanijazia watu.


Asante Gee Cee, msalimie Lizzy.


Magazijuto nilifwaulu sana.

Maziwa ya mgando naona uko ndani ya jokofu kwa muda, poa kama vipi ukija tena niletee maembe dodo na machungwa.
 
Asante Gee Cee, msalimie Lizzy.

Poa sana... Asante pia...

Huyo sina mawasiliano naye... Walau ya PM ila...kwa wewe....
 
Yuko hapa next to me, anasoma hii thread.
Anacheka tu na kunipa mastory za enzi zile.
 
Kwenye miaka ya 80 kulikuwepo jambazi lililokuwa linaitwa Nyau.

Mnalikumbuka hili jambazi? Sasa hivi liko wapi?

NB: Sweetlady huwezi kulijua hili li Nyau. Wewe bado ulikuwa ka baby.

pia miaka ya 90 kulikuwa na jambazi linaitwa Faluda
 
loh.... hata tarajio la kuwa nitakuja dunian sina aisee,
miaka io hata maza na baba hawajakutana duuh|!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…