Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Kwenye miaka ya 80 kulikuwepo jambazi lililokuwa linaitwa Nyau.
Mnalikumbuka hili jambazi? Sasa hivi liko wapi?
NB: Sweetlady huwezi kulijua hili li Nyau. Wewe bado ulikuwa ka baby.
Kipilipili....tehetehetehe nyau ngabu jambazi
We gambachovu, umeanza lini kummiss mgeni?