ntakisigae
Senior Member
- Nov 26, 2013
- 186
- 66
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jifunze maana ya "Galvanization" kuna layer ya Zink inawekwa kwenye Iron na Steel kuzuia kutuGalvanized si chuma hiko ...? Na iweje isishike kutu wkt cha mtu huliwa na mtu na chuma huliwa na kutu
Hapana mi bado hainiingii akilini nishawah kuona kwa macho yangu galvanized imeshika kutu mkuuJifunze maana ya "Galvanization" kuna layer ya Zink inawekwa kwenye Iron na Steel kuzuia kutu
Kwa hiyo mtaalamu unataka ikae milele?Hapana mi bado hainiingii akilini nishawah kuona kwa macho yangu galvanized imeshika kutu mkuu
Sema tu huwa inachelewa kushika kutu usiseme haishiki kutu
Kukaa milele sio ishu. ishu ni kupotosha umma kwa kusema haishiki kutu wakati inashika kutu hiko ndo ninachokipnga mmKwa hiyo mtaalamu unataka ikae milele?
Yaani wewe ni mimi kabisaumeziiba wapi?
Inaonyesha kapiga sehemu au zilibaki siteNi dealer au imetokea tu unaziuza?