Mbona bibi yako mpk leo ni mkulima na halalamiki?kilimo ndo hicho cha kuangalizia mvua....
Twambie wewe uliyetafakari.Hivi umekaa na kutafakari kwa nini uhalifu unaongezeka?
Ulitaka wafanywe nn? Yaani sasa hivi ni mwendo wa risasi tu. Kama una ndugu mwizi mwambie aache atapigwa risasi tu.halafu dola hiyo hiyo inawaua watuhumiwa wa wizi....
Kivipi? Acha kujilegeza weweDola inahakikisha vijana wanakosa hata fursa ya kujiajiri
Huna vitu vifuatavyoKwahiyo solution ya hayo yoooote ni MTU kuwa Jambazi au sio ?
Haya endelea kuwa Jambazi ni Shaba tu
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Na nyinyi wenyewe acheni kuibia watu, nguzo zinatoka hapo mafinga zinauzwa kwa bei yote hiyo?Ndugu Mteja
Tunashukuru sana kwa ushirikiano wako mzuri, tunaanza uchunguzi maramoja Kupitia idara yatu ya usalama (Security) tutafurahia zaidi kama utaweza kutusaidia mtu au eneo wanaofanya hivyo ili tuanzie hapo,
Kufeli kwa mfumo au tusime total colapse of our system. Mambo haya huchangiwa na mambo mengi sana lakini source yake ni uongozi mbovu. Rais anaweza kutumia nguvu kuiba kura, watu wakadhani madhara yake yanaisha mara uchaguzi unapokwisha ´kumbe ndiyo yanaanza. Kwa kifupi kila ovu linalofumbiwa macho na uongozi au jamii linazaa maovu mengine, na yale maovu yanazaa mengine na mengine...Sasa hivi hadi taa zinazotumia solar vibaka wanaiba batteries na hizo solar panels. Nchi imekuwa ya ajabu sana sijui tuna laana gani? Na muda si mrefu watamalizia na hizo nguzo kwenda kuuza scrapers.
Acha kuwa short sighted wa ubongo mazee. ''Shaba tu'' ingekuwa inatatua matatizo kama haya basi dunia hii isingekuwa na kibaka hata mmoja. Watu kama nyie pengine ndiyo viongozi mnaoamua mambo ndiyo maana kila siku ijayo inakuwa afadhali ya jana. Unajaribu kutatua tatizo complex kwa njia ya mkato. Hutafanikiwa.Kwahiyo solution ya hayo yoooote ni MTU kuwa Jambazi au sio ?
Haya endelea kuwa Jambazi ni Shaba tu
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Tatizo la utapeli wa vifurushi? Hili kuliondoa ni ngumu kwa sababu kunawa hakuna ushahidi wa wazi. Mfano unaweza kununua kifurushi cha mb 1000, kikaisha haraka sana lakini namna ya kuonyesha kuwa umeibiwa inakuwa ni ngumu.Hao watu kwanini wasitusaidie kuangusha minara ya simu[emoji23]. Maana siyo kwa utapeli huu na wizi wanaotufanyia.
Siyo voda, tigo, airtel, halotel wote wanajichukulia tu pesa zetu.
Wizi huu umetikisa wilaya ya Muleba. Tanesco msijaribu kuweka nyaya ngumu nje kwa sasa ni dili sana zinatumika kufunga linta na kushikiria paa.Msiishie Kupost tu Hii ni hatari Huko tuendako
Ushauri wangu ni kwamba. Nyaya ngumu za kushikiria nguzo ziwekewe madini ya kuditect hata zikijengewa unaweza kuzipata kirahisi. Nilisikitika sana Tanzania kufikiwa wizi huu kisa ughari wa nondo.Ndugu Mteja
Tunashukuru sana kwa ushirikiano wako mzuri, tunaanza uchunguzi maramoja Kupitia idara yatu ya usalama (Security) tutafurahia zaidi kama utaweza kutusaidia mtu au eneo wanaofanya hivyo ili tuanzie hapo,