MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,967
Kwema Ndugu zangu?
Nasikia nyayo ya mguu inawasha sana,..
Kama sitasafiri basi ntapinga mkwanja mrefu sana. Dah mpaka najitamani asee!
"Oya, wanangu, tafuteni hela" Chief Godlove Quote [emoji23]
"kijana mdogo namiliki hela, utaniambia nini?" [emoji23]