MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,967
Mulemule....Ok. Na safari ni mguu gani bro?Mkwanja ni pale mkono wako wa kulia unapowasha.
Ushindi wa nje siukubali sana bob. Nimeishazoea kumwagia ndani!Sema umechoka kushinda ndani
Nauli ninayoUsafiri huku hata nauli huna
Akili za uvccmKwema Ndugu zangu?
Nasikia nyayo ya mguu inawasha sana,..
Kama sitasafiri basi ntapinga mkwanja mrefu sana. Dah mpaka najitamani asee!
"Oya, wanangu, tafuteni hela" Chief Godlove Quote [emoji23]
"kijana mdogo namiliki hela, utaniambia nini?" [emoji23]
Mimi sio kijana NduguAkili za uvccm
Sawa Babu kula mafao ya uzeeni ni haki yakoMimi sio kijana Ndugu
Asante kitukuu changuSawa Babu kula mafao ya uzeeni ni haki yako