Hivi wadada tutawajuaje kama mna nyege ,ila hili neno nyege pia naona silifahamu vyema,kuna mtu aweza lielezea kwa ufasaha .
Sababu ya kuuliza hivyo ni leo nilikutana na wadada kwenye kasherehe flani ,kuna wadada nikakaribisha vinywaji japo siwajui ,mmoja wao akaniuliza ..una nyege nini..? Mwengine akadakia ..tena nyege mshindo..! Nikasepa kivyanguvyangu maana nilishindwa kuwaelewa ,basi nikawa na dukuduku hadi hapa JF ndio nalitoa ili kupata maelezo ni urafiki ni mapenzi ni mapendo sikuwaelewah !!!
Kuna experts wa hayo mambo watafika muda si mrefu hapa
Nyege ni ule mkuno wa kutaka kupark gari lako pangoni. Au kwa Ke ni hali ya kutaka chimney cleaner. Nyege mshingo ni pale wakati mtu anaweza kupata mfazaiko tayari. Kama hamna mtu karibu kasi unapanda mnazi.
Unaskull std ngapi?
nyege ni hela.
nyege mshindo ni hela za mawazo/ngama
walitaka kujua kama unahela.....sasa kesho ukienda kibaruani muombe yule mhasibu wenu akukopeshe nyege halafu watafute hao mabinti wakupunguzie.
Mambo mingine inakubidi umezee ,wale wanawake wakuda sana ,yaani wametoa msamiati ikabidi nije hapa ,na hapa napo wananizingua wanaulizia nina miaka mingapi ,hivi hawatoi kama hawajajua miaka yako ? kutoa jibu ,hih !Kumbe ndie wewe ulieshambuliwa, ningalijua kama ni member wa jf ningekusaidia
Pole mkuu
Na wewe nawee ,kila ukija hapa una miaka mingapi ,sasa miaka yangu,embu nieleze itakufikisha vipi kileleni ? Una zarau wewe usizau Mwiba tumbo linaweza kuota nunduh ! Kwani wewe ushabalee !
Embu--hebu
Zarau--dharau
Usizau--usidharau
Ushabalee--ushabalehe
Andika tu taratibu usiwe na harakaa
Ukubwa wake usikushitue we funguka tu ,utoe elimu ,wanasema elimu ni ufunguo wa nuru !