Nyege mshindo

Maneno mengine nikiyasikia naona Aibu mie ivooo....

Hapa umesikia kitu gani ,sijaona clip labda ya utube au nyingine,naona itakuwa unachanganyikiwa ukisoma maneno mengine ,na ukiwa hivyo utakuwa hupati elimu,hii elimu inafundishwa hata mashuleni ,huko ulaya ,hapa ilivuma sijui kama wanafundishwa kuna fil inaitwa SEX ED (ED=Educationa). Ni very nzuri filamu,mwanzo hutaielewa utaona huyo jamaa aliepata kazi ya ualimu kama anapotosha watoto,na wazazi wa eneo wakaanza kumpiga vita,ila wanafunzi walielimika na kuwa na ufahamu wa hali ya juu ,kiasi mmoja ,maana kiliwekwa kikao ,kati ya walimu,wazazi na meya wa mji ambae mtoto wake alikuwemo katika darasa hilo,kikao kilimbana mwalimu na kumfukuza ,ila wanafunzi walijitokeza na kumtetea mwalimu wao ,mtoto wa meya alimuuliza baba yake mbele ya kikao kuwa masuali na elimu tunayoipata ,masuali yake ni singeweza kukuuliza wewe ,msichana mmoja akanyanyuka akisema sasa najua umuhimu wa mwananmme kuvaa condomu ni mengi. Sasa Usione aibu ,kama unajua tueleze,kwani masuala mengi huwezi kwenda kuuliza nyumbani ,kumuuliza mama au baba,kaka au dada ila hapa jione upo huru ,okay,utafaidika tu,try to differentiate kati ya sense na non-sense haswa saa hizi za walevi..unaweza kuiona filamu kwenye URL biloo ,ila itakubidi uclick kama mara tatu eu nne mqisho itaplei ,kutokana na ad ila tumia adblocker .

Watch Sex Ed (2014) Online for Free - Viooz
 

Hao mademu watakuwa wamekuona kilaza, kama haujui ndo ungejadili nao sasa, kisha kitu na box. Ndo basi tena, itabidi ukaendelee kupiga puli.
 
Hao mademu watakuwa wamekuona kilaza, kama haujui ndo ungejadili nao sasa, kisha kitu na box. Ndo basi tena, itabidi ukaendelee kupiga puli.

Ni sawa kama ulivyosema ningedeal nao ila kwa hali ya hapo wangenitoa nishai ,na kupata mdomo,si unawajua wanawake wanakidomodomo mbele za watu wengi ,hata hapa JF c unawawonah ?
 
Embu--hebu
Zarau--dharau
Usizau--usidharau
Ushabalee--ushabalehe

Andika tu taratibu usiwe na harakaa


We utakuwa mjuku wa mzee kifimbocheza. Sema na wewe inabidi usahihishwe sio balehe ila ni baleghe. Upo hapo mjukuu wa kifimbo
 
Mkuu ulitakiwa ukachukue RB kwa kutukanwa matusi ya chumbani
 
Mambo mingine inakubidi umezee ,wale wanawake wakuda sana ,yaani wametoa msamiati ikabidi nije hapa ,na hapa napo wananizingua wanaulizia nina miaka mingapi ,hivi hawatoi kama hawajajua miaka yako ? kutoa jibu ,hih !

kuna kesi nyengine hujibiwa kulingana na umri, kuna njia tatu za kujibu masual
Suali by suali
Suali by maelezo
Suali by mkato
 

Hilo neno lenyewe kwangu ni AIBU... Achilia mbali somo ....
 
Nyege ni nini?

Kwa kutumia jibu tajwa hapo juu jibu swali hili kwa nini watu wanapatwa na nyege?

Nini dawa ya nyege?
 
Ni wimbo wa msanii nguli wa hapa tanzania ila jina lake limenitoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…