Norways
New Member
- May 15, 2021
- 3
- 0
UTANGULIZI
Sera za kigeni za mataifa makubwa kwa madogo kwa kuzingatia maitaji yao kimaendeleo na kiuchumi,zimejikita katika kutengeneza uhusiano mzuri katika uwanja wa mahusiano ya kimataifa,hili waweze kupata rasilimali ambazo hazipatikani kwa wingi au hazipo kabisa kwenye Mataifa yao.kuelekea uchumi wa kisasa,mataifa ambayo uchumi wao ni dhaifu na duni inabidi waje na mbinu za kisasa zaidi ambazo zimejikita kuboresha na kukuza uchumi endelevu kwa nchi husika.
Mbinu na nyenzo kubwa katika uchumi wa kisasa, na utumiwa na mataifa mbalimbali kujikita kwenye maendeleo na mabadiriko zaidi ni diplomasia ya kiuchumi,Lengo kubwa la mataifa mbalimbali kujikita kwenye diplomasia ya kiuchumi ni kuweza kufanikisha malengo na shabaha zao za kiuchumi, hili kujikwamua kwenye wimbi la umaskini.Nchi zinazoendelea hazina budi kuboresha na kutengeneza diplomasia yao hili kuweka mazingira mazuri kujikwamua kwenye wimbi la umaskini.
SEHEMU YA MWILI
Kwanini diplomasia ya uchumi ni nyenzo buro kuelekea uchumi wa kisasa,sababu Ni nyingi sana lakini utendewazi umekuja na mabadiriko mengi ambayo kwa kiwango kikubwa,ina matokeo ya pande mbili kwa maana ya hasi na chanya,ukilinganisha na mifumo ya zamani ya kiuchumi na biashara Kwa sasa tukienda na sera za zamani zinapelekea kuzorotesha uchumi kwa kiasi kilubwa,kushindwa kuendana na mahitaji ya soko la dunia pia kushindwa kuendana na mahitaji ya soko la dunia na sera za kibiashara zinazo tolewa na kusimamiwa na taasisi za biashara kama (WTO), ambao ni wahumuni wakubwa wa biashara huru baina ya mataifa,mfano wa wa mitizamo ambayo imepitwa na wakati ni ule wa, mwana uchumi David Ricardo, kwenye trade model alipendekeza hili kw nchi husika kupata mafanikio kwneye biashara hawana budi kutotoa au kugawa dhana zao za kiuchumi kama, vile mitaji na teknolojia,(International Political Economy.Raymond,C.Miller).
Hili Nchi zinazoendelea ziweze kufanya mabadiriko kwenye uchumi wao duni ni vyema kuboresha diplomasia ya kiuchumi kupitia mbinu mbalimbali kama vile,Kutengeneza chapa ya nchi iliyo bora Kwa kupitia kutangaza nchi husika ipate nafasi ya kujikina duniani,fursa zinazopatikana nchini humo,rasilimali fedha pia, nchi yenye kujitangaza nakujipambanua mbele za mataifa mbalimbali kuna uwezekano mkubwa na chanya,kuweza kuongeza uwezo wake wa kufanya biashara na nchi kunufaika Kwa kupata fedha za kigeni,ajira kwa wananchi ambao ni moja ya msingi bora kuelekea uchumi bora na wenye kukua nakupelekea mabadiriko chanya Kwa nchi husika,mbinu za kutengenza chapa iliyo nzuri Kwa nchi husika nikupitia nchi kuweza kuanzisha vituo vya kibiashara kwenye mini na nchi zenye ushawishi mkubwa kwenye uchumi wa dunia kama vile London,Dubai, na Newyork.
Pia mbinu nyingine ya kuboresha diplomasia ya kiuchumi nikupitia kuvutia uwekezaji,hili kufanya mabadiriko kwenye nchi zenye uchumi duni,inabidi kuandaa mkakati maalumu utakao weka mazingira rafiki Kwa ajili ya kuvutia uwekezaji mkubwa kwenye sekta tofauti tofauti kama vile kilimo,Elimu,Viwanda na afya.
Matokeo ya diplomasia ya kiuchumi yanaweza leta mabadiriko yenye tija chanya sana kwenye uchumi wa nchi maskini kama kuongezeka Kwa shughuri za uwekezaji,kupitia uwekezaji wa taasisi kubwa za uwekezaji ambazo zina Fanya kazi dunia kwote,zinafahamika kama (Transinational Corporations) zinakuja na faida nyingi kwenye taifa husika kama vile kutoa ajira kwa vijana,kuleta teknolojia mpya.
Pia wanalipa kodi Kwa ajili ya maendeleo ya taiafa, sio tu taasisi pekee zinaweza fanya uwekezaji pia nchi zenye uwezo mkubwa wa kiuchumi huweza kufanya uwekezaji wenye tija sana na kupelekea mabadiriko kwenye uchumi.Matokeo mengine ya diplomasia ya kiuchumi kwenye maendeleo ya taifa,inaunganisha Kati ya viwanda vya ndani na soko la kimataifa Kwa kupitia uhusiano baina ya viwanda vya ndani na soko la kimataifa inatoa nafasi Kwa wazalishaji mbailimbali ndani ya nchi, wazalishaji wakubwa na wadogo kupata soko la bidhaa zao, nakupelekea kuboresha vipato vyao,wazalishaji wa ndani upatia taifa mapato ambayo ni msingi wa kujenga uchumi wa nchi pia raia uboresha mifumo yao ya maisha na hatuna ndo maendeleo ya kweli.matokeo mengine ya diplomasia ya kiuchumi ni kwamba inapelekea kutengeneza uhusiano mzuri Kati ya sekta binafsi na sekta za umma,hapa utokea ufanisi mkubwa katika utendaji na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kimaendeleo Kupitia sera nzuri za kidiplomasia,utengeneza uwezekano mzuri sana,katika sekta binafsi na za umma Kwani ushirikiano mzuri upelekea ufanisi katika kutoa huduma Kwa jamii na ubora wa bidhaa zinazotokana na ushirikiano mzuri wa pande mbili, hii uchochea ushawishi kwenye soko la Kimataifa
Pia diplomasia ya kiuchumi huweza Kuleta chachu ya kukamilisha mpango kazi wa serikali kwenye nchi husika,hii nikupitia sera na malengo ya serikali,ambayo kubuniwa kwa kufata sera za kiuchumi,za mataifa yaliyoendelea na kuzingatia kwenye utunzi wa sera zao,hii upelekea ushawishi katika kuendana na sera za dunia za kiuchumi,kama vile biashara huria na kutokua na ubaguzi kwenye biashara na mabadiriko makubwa kwenye uchumi wa nchi.
Diplomasia ya kiuchumi uongozwa na kuendeshwa kwa kupitia vitu mbalimbali,hili kuendesha diplomasia bora ya kiuchumi iliyo bora hatuna budi kuingia kwenye mikataba mizuri na iliyo rafiki Kwa nchi za dunia ya tatu,hili kuweza kupanua masoko huru Kwa wafanyabiashara kujenga misingi mizuri Kwa wafanyabiashara wadogo,kutengeneza fursa Kwa makundi tofauti tofauti,kama Kwa vijana na wanawake pia mikataba itakayo imarisha mazingira ya kibiashara za kimataifa na ajenda za uwekezaji mfano,mkataba wa biashara huru barani Afrika(African Continental Free Trade Are-AFCFTA,2021) Kwan kuzingatia mikataba bora italeta tija kwenye biashara,na hivyo kutengeneza mazingira mazuri,yakuinua pato la taifa na maishani ya raia,
MWISHO
Pia njia nyingine kuendesha diplomasia ya kiuchumi Kwa ufanisi hili kuleta mabadiriko nikupitia kuchagua nakuhakisha ufanisi katika Balozi zinazo wakilisha nchi kwenye mataifa ulimwenguni,hili nikupitia kuchagua wana diplomasia wenye uzoefu wakutosha katika utekelezaji wa majukumu yao(diplomatic mission),watakaoweza kuwakilisha na kutangaza nchi vyema hili kuvutia,uwekezaji,kutengeneza ajenda sahihi hili kunufaika na misaada ya kimataifa na kutafuta masoko Kwa ajili ya bidhaa zinazo toka nyumbani Kwan Matokeo yake yatapelekea misingi mizuri ya kibiashara na maendeleo kwa raia,na nchi Kwa ujumla hivo kuleta mabadiriko kwenye uchumi wa nchi.Hivo basi hili kuleta mabadiriko chanya kwenye uchumi wa nchi za dunia ya tatu,diplomasia ya kiuchumi ni nyenzo nzuri sana ni vyema kuitumia Kwa misingi mizuri inayofaa Kwa kujenga mahusiano mazuri na majirani na upeleka ushirikiano,siku zote kidole kimoja hakivunji chawa na umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu,hatma ya maendeleo hipo mikononi mwetu wenyewe.

Upvote
1