Mr.genius JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 1,374 Reaction score 1,201 Apr 20, 2017 #21 jabulani said: Magufuli ni rais jina lakini kiuhalisia ni mtawala. Hana ushawishi bali analazimisha mambo ayatakayo. Click to expand... Asante!
jabulani said: Magufuli ni rais jina lakini kiuhalisia ni mtawala. Hana ushawishi bali analazimisha mambo ayatakayo. Click to expand... Asante!
Ibn Ayoub JF-Expert Member Joined Dec 20, 2015 Posts 2,237 Reaction score 3,081 Apr 20, 2017 #22 QUIGLEY said: Utamdilije rais ambaye hata robo ya muhula wa kwanza hajamaliza? Click to expand... Hahaha kana kwamba haotoshi swala la muda kuwa ni mdogo pia iko haja ya kuchukua tahadhari usije pelekwa Roma kwa wakatoriki
QUIGLEY said: Utamdilije rais ambaye hata robo ya muhula wa kwanza hajamaliza? Click to expand... Hahaha kana kwamba haotoshi swala la muda kuwa ni mdogo pia iko haja ya kuchukua tahadhari usije pelekwa Roma kwa wakatoriki