francis jn
Member
- Oct 9, 2012
- 11
- 12
''Tunataka rais wetu, akiwa Mkristu, ajue hatumchagui kwa sababu ya Ukristu wake. Akiwa ni Mwislamu, ajue hatumchagui kwa sababu ya Uislamu wake. Hatumchagui awe rais wa Wakristu wala awe wa Uislamu, na tunataka hilo alijue na likubali kwa dhati na alisimamie na ndiye kiongozi wetu. Alisimamie kwa dhati bila woga, ndiyo kiongozi wetu. Katika nchi changa namna hii, ambayo watu haraka sana hukimbilia ukabila, haraka sana hukimbila udini, tunataka kiongozi awe imara kabisa katika mambo haya.''
Aliyasema hayo Mwalimu Julius K Nyerere kwenye klabu ya Waandishi wa Habari wa Tanzania, Machi 13, 1995.
Aliyasema hayo Mwalimu Julius K Nyerere kwenye klabu ya Waandishi wa Habari wa Tanzania, Machi 13, 1995.