Nyamtala Kyono
Senior Member
- Sep 23, 2010
- 163
- 34
Wakati huu tunapojadili rasimu ya kwanza ya katiba kuna kitu nimekiona leo kikanikumbusha swali ambalo nimekuwa nikijiuliza kimoyomoyo. "Nyerere alikosea kuiunganisha zanzibar na tanganyika?"
Nilichokiona hapa mjini (huku kwetu tanganyika). Kuna jamaa mmoja alikuwa amebeba bango asubuhi ya leo linalosomeka.
"Unguja na pemba ni visiwa halali vya tanganyika kama ilivyo ukerewe na mafia"
kama nakubaliana nae hv!
Angalizo: Wazanzibari mapovu yasiwatoke,ni maoni tu
Nyamtalakyono