Nyerere alikosea kuunganisha Zanzibar na Tanganyika?

Nyamtala Kyono

Senior Member
Joined
Sep 23, 2010
Posts
163
Reaction score
34
Wakati huu tunapojadili rasimu ya kwanza ya katiba kuna kitu nimekiona leo kikanikumbusha swali ambalo nimekuwa nikijiuliza kimoyomoyo. "Nyerere alikosea kuiunganisha zanzibar na tanganyika?"

Nilichokiona hapa mjini (huku kwetu tanganyika). Kuna jamaa mmoja alikuwa amebeba bango asubuhi ya leo linalosomeka.

"Unguja na pemba ni visiwa halali vya tanganyika kama ilivyo ukerewe na mafia"

kama nakubaliana nae hv!
Angalizo: Wazanzibari mapovu yasiwatoke,ni maoni tu

Nyamtalakyono
 
Nikiwa nje nilienda Atilanta University kitengo cha aridhi nikawauliza uwezekano wa 'kuvisukumia mbali na pwani ya Tanganyika visiwa hivyo...
 
Zanzibar ni nchi huru.
Bila huu muungano, Zanzibar ingepiga hatua kubwa sana kimaendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…