Pre GE2025 Nyerere alipenda kuuliza "Wewe kama Mbunge umewafanyia nini Wananchi hawa waliotuchagua?"

Pre GE2025 Nyerere alipenda kuuliza "Wewe kama Mbunge umewafanyia nini Wananchi hawa waliotuchagua?"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Siku hizi Wabunge ni wajanja sana kabla hawajaulizwa swali kama hili Wao Ndio huanza kumpamba Rais kwamba yeye Ndio alpha and Omega.

Nakumbuka Mwalimu Nyerere alipombabatiza na swali hili mbunge wangu wa Kinondoni Wakati Ule Ndugu Msakandeo.

Nyerere: Ndugu Msakandeo tuambie Wewe kama Mbunge umewafanyia nini Watu hawa katika kuthamanisha kura walizotupa?

Msakandeo: Mheshimiwa Ndugu Rais nikiwa mbunge kila jioni nawatembelea Wagonjwa Hospital ya Mwananyamala kuwajulia hali kwa niaba Yako Mwenyekiti.

Uchaguzi ulifuata jina la Msakandeo halikurudi tukaletewa mgombea mpya Kabisa.

Hiyo Ndio CCM iliyokataa Uchawa.

Kwako Mrangi Ova pale Siri Yako Kinondoni 😂😂😂
 
Back
Top Bottom