Nimekuwa nikitafakari sababu za kushindwa kwa Upinzani katika chaguzi mbalimbali hapa nchini na kujiuliza maswari haya yafuatayo
1.Kushindwa kwa upinzani ni kutokana na aina ya viongozi walionao?
2.Aina ya mfumo uliopo hautoi fursa sawa kwa wote
3.Je upinzani ufanye nini kuyatoa au kupunguza hayo mawili hapo juu.
4.Je Mwl.J.k.Nyerere akigombea Urais kwa tiketi ya upinzani katika mfumo huu tulionao sasa matokeo yatakuwaje?
Nawakilisha
watu walikuwa wamechoka na marehemu DICTATOR NYERERE hata kama angeligombania kwa upinzani basi pengine angepata kura 2 .yeye na mkewe .who the hell want ujamaa idealogy in this moderm age.siasa yake ilifeli ndio maana mpaka leo ,poverty poverty poverty.I will say he could be better managing a village than a country.the guy was useless just too much blah blah blah .nothing special