Nyerere Bridge

Nyerere Bridge

Fabian the Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
756
Reaction score
751
Baadhi ya watu wamekuwa na hofu kwamba jina la daraja la Mwalimu Nyerere ( #NyerereBridge) lililoko Kigamboni, halitatumika.
Hoja za watu zina mashiko makubwa kwani kuna Miradi mingine iliwahi kupewa jina la Nyerere lakini halikusdumu ( Mfano Pugu Road).
Lakini mimi jina hilo litafanikiwa iwapo sisi wenyewe tutalishikia Bango. Siku hizi mambo yote yanakwenda kwa nguvu ya mitandao ya kijamii.
Tushikie bango jina hilo kwa heshima ya Mwalimu ; #NyerereBridge
 
Huku kigamboni tunaliita Daubridge hatutaki kupangiwa jina,yeye kikwt na magufl ndo walisaidia kukamilika kwa hii kitu,wajenge lingine waite ivyo.
 
Back
Top Bottom