SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,944
- 2,032
Nimeona ukimya wa kitaifa kuhusiana na migogoro ya kimataifa,nimeona tumeshindwa kutumia walau fursa hiyo kuwaenzi Aman karume na jk kuwaonya majirani zetu wa karibu kupatana sisi kama moja ya wakubwa wa east africa,hamna tumaini jipya juu ya migao ya umeme,hamna kauli yoyote juu ya upandaji wa bei za mafuta,mifumuko ya bei ya bidhaa mbalimbali hamna alokemea au kutoa maelekezo.inshort kama magu alikutana na Mwalimu huko waliko leo mwalimu atazidisha upendo wake kwa mwamba wengine tutaenda kutolewa ushaidi wa tanzania ya nyerere aloitaka