swagazetu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 4,250
- 1,470
Nimezaliwa nasikia Nyerere mkombozi,Nyerere baba wa Tanzani baba wa taifa,sawa
Kuna neno zito sana linalotumika eti "Kumuenzi" baba wa taifa kwa hofu ya nenoclenyewe viongozi wamefika hatua hawafanyi maamuzi eti wana muenzi,nawashukuru.lakini kama Nyerere tunamuenzi kwa haya kwa kuwa ndiyo misingi aliyotuachia basi alikuwa mpuuzi wa mwisho duniani.
Nyerere aliacha mambo ya muungano yakiwa saba(7)tu leo yapo 22 tumemuenzi? Nyerere hakupenda starehe leo viongozi hawana nyumba wana mahekalu,je tunamuenzi!Nyerere alikuwa na nyumba kubwa moja aliyo jengewa na JKT!
Hivi hawa wanatetea maslahi yao ya ccm ama muungano.
Nyerere alisema mali ya asili hasa madini tusiyachimbe mpaka tupate wataalamu,lakini yanakaribia kuisha je tunamuenzi mwl au tumemdharirisha!!
Serikali imekumbatiwa na wenye pesa ambao mwl aliwapiga marufuku kutoshika madaraka ya juu yaani wasichanganye siasa na biashara!je tunamuenzi!!
Nyerere alipinga kiongozi kujilimbikizia madaraka na mali,leo viongozi ndo wafanya biashara wakubwa,je tunamuenzi au tunaenzi maslahi binafsi?
Je kwa hayo na mengine tunalinda muungano au maslahi? Kama tungeulinda muungano kwa kuwaenzi waasisi je nao walitenda hayo kama kweli tunasema tunawaenzi kwa ufisadi,wizi wa mali,kufanya biashara kwa viongozi basi Nyerere hakuwa na maana yoyote.
Kama tunaiba;tunaua raia,tunakandamiza uhuru wa hsbari eti tunamuenzi basi nyerere hakuwa na maana yoyote.
kama hawa viongozi wetu wanayoyafanya wanamuenzi kwa kumaanisha kwamba ndiyo aliyoyaasii basi hafai kigwa Nyerere.unapomuenzi mtu unatenda aliyotenda sasa kama:
-wanaiba pesa BoT naye alikuwa mwizi
-kama madini yamechimbwa yamebaki mashimo basi naye aliruhusu,mpuuzi sana.
-kama Nyerere hakuacha hata mwanae mmoja hakuwa mbunge leo wanarithishana,tunamzalilisha.
Kama kweli yanayotendeka leo ni kumuenzi basi anafaa kupuuzwa na kulaumia,mshenzi.