simba songea
JF-Expert Member
- Feb 8, 2016
- 1,498
- 1,216
Zikiwa zimebaki siku kadhaa Kabla kuazimisha maazimisho ya kuondokewa na Baba yetu wa Taifa hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Kuna watu wengi wamelipigania Taifa letu lakini Leo nitamzungumzia Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alitamani Afrika iwe nchi moja na alifanya jitihada za kuunganisha nchi za Afrika mashariki mojawapo ni Zanzibar.
Kuna watu wana ubeza Muungano lakini hawajui jitihada gani zilifanyika kuufanya huu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Zanzibar ilipata uhuru wake 10-12-1963, mwaka 12-01-1964 ilipata mapinduzi. Mwaka 26-04-1964 wakaungana na Tanganyika. Wakati Tanganyika ilipata uhuru 09-12-1961 na mwaka 26-04-1964 wakaungana na Zanzibar.
Tunaambiwa Zanzibar huru ilikaa mwaka mmoja tu, maana Baada ya kupata uhuru mwaka uliofata wakaungana na Tanganyika. Pia Tanganyika huru ilikaa miaka 2 tu wakaungana na Zanzibar ikazaliwa Tanzania.
Watu wanauzarau Muungano Bila kujua Tanganyika huru na Zanzibar huru hazikukaa sana. Maisha yao Mengi wameyaishi ndani ya Muungano. Mafanikio ya sasa yametokana na Muungano.
Rais wangu Magufuli wakati Mwalimu Nyerere anaunganisha Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964. Magufuli alikuwa na miaka 5 tu(kazaliwa 1959) Rais mstaafu kikwete miaka 14(kazaliwa 1950) Wakati Nyerere akiwa na miaka 42. Hapo utapata picha kwamba wazanzibar na Watanganyika wengi wameishi miaka mingi wakiwa ndani ya Muungano. .
Itakuwa ajabu Rais Magufuli apinge Muungano wakati nchi Hizi zinaungana Yeye alikuwa na miaka 5 tu. Ameishi amesoma amepata urais akiwa ndani ya Muungano.
Kitu pekee ambacho Watanzania bara na visiwani tunajisifu tumekifanya as sovereignty ni kuziunganisha Hizi nchi 2. Mengine yote tumerithi kwa wakoloni.
Kumbuka kitu kinachofanya ujiite Mimi Mzanzibar Huyu Mtanganyika ni Muungano peke yake. Lakini nje ya Muungano kuna Muunguja na mpemba.
Viva muasisi WA TANZANIA HAYAT MWALIMU JK NYERERE
majeshi yetu