Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unabahati mbaya ya kutosikia nyerere au mkapa katika hutuba za kiingereza.watu hawa wana uwezo mkubwa wa kizungu na mtiririko wa semi za kitaalam.nyerere ni zaidi kwa akili pamoja ufahamu wa mambo ya ulimwengu.kikwete ndiye wa mwisho kwa ufahamu na uwezo hata wa kusoma hata gazeti!hana sifa yoyote ya kitalaam zaidi ya usanii na ushirikina.
hana busara hata akili ya kujua jana bunge na mahakama ilifanya nini yeye kama rais.amebaki kama mwana sesere juu ya kochi akisubiri rweyemamu amwambie cha kusema.kwa hali hii nadhani hata jina la mkewe ana muuliza huyo al sahaf wake!

jamani sisi wengine tumezaliwa enzi za mkapa hatukuwahi kupata bahati ya kusikia hotuba za kiiingereza za mwinyi wala nyerere,ningependa kujua kati ya hao wanne nani ni mkali wa kucheza na lugha namaanisha kiingereza,majina yafuate mtiririko
kwa nini usiseme nani mkali wa kiswahili? kweli watumwa bado wapo wengi nchi hii!