Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
Tutajie hao wanaostahiliNyerere na karume sio independence fighters kama vitabu au historia ya Taifa iliyopikwa inavyotuaminisha hii historia ya Tanzania imepikwa lengo hawa Viongozi wawili wapewe heshima kubwa ambayo hawakustahili na sijui lengo la kubadilisha historia lilikuwa nini Nyerere yeye aliwekwa tu Wazee wa Dar esalaam kwasababu wakoloni walitaka mtu wa dini yao na hali kadhalika kwa Karume Uhuru ulipiganiwa na akina Titto Okelo yeye aliwekwa tu na sio mfanya mapinduzi
Historia imepikwa na hii haikuabaliki hata kidogo nakataa asilani abadani kwa uzushi huu wa historia ya Tanganyika na Zanzibar
Unapinga bila ya kuweka your version of the story huo ni upumbavu uliokithiri.Nyerere na karume sio independence fighters kama vitabu au historia ya Taifa iliyopikwa inavyotuaminisha hii historia ya Tanzania imepikwa lengo hawa Viongozi wawili wapewe heshima kubwa ambayo hawakustahili na sijui lengo la kubadilisha historia lilikuwa nini Nyerere yeye aliwekwa tu Wazee wa Dar esalaam kwasababu wakoloni walitaka mtu wa dini yao na hali kadhalika kwa Karume Uhuru ulipiganiwa na akina Titto Okelo yeye aliwekwa tu na sio mfanya mapinduzi
Historia imepikwa na hii haikuabaliki hata kidogo nakataa asilani abadani kwa uzushi huu wa historia ya Tanganyika na Zanzibar
Nenda ukanye, tawaza halafu ulale. Maana mkila makande na kuvuta bange mnaanza tu kutuandikia nyuzi za hovyo hovyoNyerere na karume sio independence fighters kama vitabu au historia ya Taifa iliyopikwa inavyotuaminisha hii historia ya Tanzania imepikwa lengo hawa Viongozi wawili wapewe heshima kubwa ambayo hawakustahili na sijui lengo la kubadilisha historia lilikuwa nini Nyerere yeye aliwekwa tu Wazee wa Dar esalaam kwasababu wakoloni walitaka mtu wa dini yao na hali kadhalika kwa Karume Uhuru ulipiganiwa na akina Titto Okelo yeye aliwekwa tu na sio mfanya mapinduzi
Historia imepikwa na hii haikuabaliki hata kidogo nakataa asilani abadani kwa uzushi huu wa historia ya Tanganyika na Zanzibar