Nyerere na Mandela ni wa kupigiwa saluti

NAMDORY

Member
Joined
Feb 21, 2017
Posts
21
Reaction score
14
Kambarage na Mandela, walikuwa na nia yakweli ya kujali watu na utu wao
 
Sehem pekee aliyobugi Kambarage ni pale alipoifanya Tanganyika kuungana na Znz kwa maslahi mapana ya Znz bila kujali itawacost vipi watanganyika. Otherwise he was the best!
 
"... hawakuwa watu wazuri hawa"; anatuasa mzee wetu mstaafu wa chama letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…