Lazima kuongelea tulikotoka, kwa vingine tutarudia makosa ya zamani.
(1)Mwalimu alipiga vita ukabila, Kenyatta hakufanikiwa kwa hilo.
(2) Mwalimu alikataza ujenzi wa shule binafsi. Hilo lilikuwa kosa kubwa ajabu. Leo hii ungeondoa shule binafsi ungefilisi Elimu Tanzania. Kenyatta alizunguka Kenya nzima akihamasisha shule za HARAMBEE. Matokeo yake ni kwamba leo hii idadi ya wasomi Kenya ni mara tano ya ile ya Tanzania.
(3) Mwalimu aliamini Ujamaa (socialism) ni feasible. Kenyatta alimwambia Mwalimu hicho kitu hakiwezekani. Kenyatta alisoma Uchumi London School of Economics, Mwalimu alisoma Historia Edinburgh. Walirudi na mitizamo tofauti sana.
(4) Mwalimu alijali UHURU wa Afrika nzima, Kenyatta alijali maslahi ya Kenya peke yake.
(5) Mwalimu was a polished intellectual, Kenyatta was a down to earth, and even crude, realist. Wakati Mwalimu akisema Ujamaa ni utu, Kenyatta alisema "kama unaona mutu imelala, nyonya yeye"!
Etc.