Nyerere: Wasomi wameiharibu Elimu; Wafungua shule kwa pupa; Watoa “elimu kimbizi”

Hakika mtu anaeyapuuza maneno haya si mzalendo. Nilikua naisikiliza hii hotuba ambayo kwa wiki sasa ipo hewani nimegundua wapi sasa tunakosea. Mkuu nakupongeza umeiweka kama ilivyo ila kuna mijitu itakubeza kwakuwa wamezoea kushangilia uozo eti tu kwa sababu wanaoamua ujinga huu ni watu wao au baba zao maneno haya ya mwalimu ukiyatafakari utajua alikua na maana gani ila ukiyasoma kwa sababu kayaweka nani hapa na kuchangia kwa itikadi zako hutaona ukweli wa jambo hili msingi ni lazima uwe imara si kuweka mapaa na kulemba saaana litaanguka tu. RIP Mwalimu sasa tunakuhitaji zaidi kuliko muda wowote ktk histolia ya Tanzania viongozi wetu sasa hawaangalii maendeleo ya watu kwa maana ya watanzania bali maendeleo ya vitu na familia zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…