Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Hao Bahir ni kama Asas tu, hawana lolote, shida yenu walamba askirimu mmeuza uwanja, uwanja huo wameshauharibu watakaocheza kesho, hiyo Bahir ingekutana na Simba ya Fabrice Ngoma, mngeita maji mma leo.