Hao Bahir ni kama Asas tu, hawana lolote, shida yenu walamba askirimu mmeuza uwanja, uwanja huo wameshauharibu watakaocheza kesho, hiyo Bahir ingekutana na Simba ya Fabrice Ngoma, mngeita maji mma leo.
Msimu uliopita Simba ilifungwa na timu kutoka Djibuti pale taifa. Sasa msinisahau sana wakati timu yenu masalo/Nyanyambovu.
Mnawalaumu KMC wakati nyie Simba mmecheza na Yanga mpira wa kwanza mmepiga golini dk 76 yaani Diara alikua kapumzika tu.