fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Siku hizi mnatangaza taarifa ya habari saa 12 asb,sio mbaya,ila msiwape kutangaza taarifa hizo watu wasiosomea kazi ya utangazaji,kwani wanaharibu hizo taarifa ya habari,wanameza mate hovyo,wanatangaza hovyohovyo kwakuwa hawajui kitu.Chisano jr hawezi kutangaza taarifa ya habari