Nyie endeleeni kutukana tu!

Nyie endeleeni kutukana tu!

Maalim Jumar

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2010
Posts
1,259
Reaction score
118
habari JF.
Haya maneno aina hii naona ni kutusiana ...
1- siku za mbeleni=siku sijazo.
2-...............
3-...............

Tuendelee!
 
Maalimu labda sijaelewa.... Kama hutajili naomba mfano wa pili...lol
 
3-siku za USONI= siku za karibuni(zijazo karibu).
 
Sasa sijui tusi liko wapi hapo?any way labda sijaelewa unamaanisha nini?
 
Sasa sijui tusi liko wapi hapo?any way labda sijaelewa unamaanisha nini?
Member! wataalam wa lugha unapotumia kimakosa ni sawa na kutusi.

Kama huon ni marusi ni sawa.
Maana kuna jamaa huitana ''Kichaa wangu''
Au hupeana sifa kwa kusema: k.u.m.a.m.a.m.ake = hongera.
Kwako si matusi hayo?
 
Lugha zote huwa zinaeleweka kulingana na muktadha (context) ya mzungumzaji au jambo linalozungumzwa. Bila context maneno mengi yana maana zaidi ya moja kwa hiyo kulichomoa neno moja si rahisi watu kuelewa. Mi sioni shida ya matumizi ya maneno uliyoyataja hapo juu kwani yanatumiwa kulingana na context husika watu wanaelewa kile kinachotakiwa kueleweka. Hakuna utata. Ila wakati mwingine mtu anaweza kuuweka utata kwa makusudi ili kuchekesha wasikilizaji wake kwa kuonesha kwamba usemi fulani una maana nyingine/ ya pili zaidi ya hiyo wanayoelekea wengi kuielewa. Hapa unakuwa ni mchezo wa maneno au lugha.
 
Ni matumizi ya haya maneno.
2- jamaa wa siasa akiomba kura: akina mama hapo MBELE mtanipa?


Sasa nimekupata Maalim....lol.... Ina maana haipendezi kusema,



Walio chini wanakandamizwa na wakubwa? (au nimekosea?)
 
umeona eee!
Sasa haya maneno naona kama twatukana sana!
Hakuna tungo zingine.
Labda ikiwa mithali...lakin tungo za kawaida.....mh!
Mf: mkunaji na mkunwa.....hii ni mithali.

Sasa nimekupata Maalim....lol.... Ina maana haipendezi kusema,



Walio chini wanakandamizwa na wakubwa? (au nimekosea?)
 
Sasa nimekupata Maalim....lol.... Ina maana haipendezi kusema,



Walio chini wanakandamizwa na wakubwa? (au nimekosea?)
Ungesema hivi: Walio kwenye ulitima wamenyimwa fursa na wakubwa
 
Mnapata ujauzito kwa sababu ya viherehere vyenu! Anyway, konda nishushie kituo cha mbele, pale Chambawima!
 
Back
Top Bottom