Maalim Jumar
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,259
- 118
Ni matumizi ya haya maneno.Maalimu labda sijaelewa.... Kama hutajili naomba mfano wa pili...lol
Member! wataalam wa lugha unapotumia kimakosa ni sawa na kutusi.Sasa sijui tusi liko wapi hapo?any way labda sijaelewa unamaanisha nini?
Ni matumizi ya haya maneno.
2- jamaa wa siasa akiomba kura: akina mama hapo MBELE mtanipa?
Ukitaka kula lazima uliwe.Ukiona umeula, jua ushaliwa!
Sasa nimekupata Maalim....lol.... Ina maana haipendezi kusema,
Walio chini wanakandamizwa na wakubwa? (au nimekosea?)
Ungesema hivi: Walio kwenye ulitima wamenyimwa fursa na wakubwaSasa nimekupata Maalim....lol.... Ina maana haipendezi kusema,
Walio chini wanakandamizwa na wakubwa? (au nimekosea?)
Ni matumizi ya haya maneno.
2- jamaa wa siasa akiomba kura: akina mama hapo MBELE mtanipa?
huko nyuma hatukua hivyo