Nyie kagomba wageni msinunue korosho kwa bei kubwa, mtapata hasara ambayo hamkuwahi kufikiria

Nyie kagomba wageni msinunue korosho kwa bei kubwa, mtapata hasara ambayo hamkuwahi kufikiria

chala41

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2024
Posts
300
Reaction score
606
Korosho seasonal

Kuna kagomba wa ajabu sana mkoa wa kusini. Mtu anapigia maboss walioko dar huko au mikoa mingine kuwaaminisha kuwa korosho mwaka huu ni Big deal kwa sababu uchaguzi upo njiani

Na matokeo yake tunaanza kuona wauza korosho kwa reja reja wanakataa bei za 1000 na 1200 .Na kuanza tamaa ya kutaka 1500.

Kimahesabu korosho unapoi nunua kwa 1500 mbeleni huko utakuja kuona kama umerogwa au korosho ni biashara isiyo faaaa.

Unaponunua korosho kwa 1500 hapo unatakiwa kuelewa kuwa utapata faida kiduchu sana labda kama unanunua tu kuwasaidia wakulima.

Maana 1500 hapo utaongeza 200 ya mnunuaji kwa kila kilo moja .Ambapo utakuwa umenunua kwa 1700 .kama tunavyojua korosho sio zao la maana kihivyo na mnada naweza kuwa 2000 kamili au imezidi sana 2200.

Hapo lazima wanakata tena kama 200 hivi transport na vitu vingine matokeo yake unakuja kubaki pale pale kwenye 2000 au 1800
Ebdapo mnada utakuwa 2000.

Kwa maana hiyo nyie washamba wa korosho mnatakiwa kununua korosho pamoja na ghrama za anaekununulia isizidi 1500 yan
Nunua kilo 1000 tu au 1200 ili kagomba umpe 200 kwa kilo na ww ubaki na chochote kitu.

Narudia tena ukinunua kuanzia 1500 itakula kwako.

Kuna watu wanapigwa sana shoti na makangomba.

Pia tusisahau korosho ni zao la msimu wa miezi miwili mpaka mitatu lakin kuna watu wametoboa kupitia korosho.

LENGO LA UZI WANGU NI HILI HAPA

KWA UZOEFU NILIOKUWA NAO KANDA YA KUSINI NAPENDA KUSEMA KUWA KARIBU KUSINI MSIMU UWE TAJIRI
PIGA SIMU TUFANYE KAZI.

UKIWA NA MILIONI 20 NJOO TUNUNUE KOROSHO TUPATE HELA YA KUFANYA MAMBO MENGINE KOROSHO NI UTAJIRI.

Nitafanya kifuatacho na hiyo milion 20 yako

Nitachukua 16,000,000 hiyo 4 milion itakuwa back up
1,300 x 12,000 tones =15,600,000

Mnada tone 11,800 hapa natoa kilo 200 za unyaufu
11,800 tone x 1900 price ya mnda 22,400,000

Then
22,400,000-15,600,000=6,800,000

Kisha chukua 6,800,000- 12000(200)=2,400,000
Baki 4,400,000 faida

Hayo ni mahesabu rough tu ila unaweza ukaacha 4 milion hiyo laki 4 ukaiweka kwenye matumizi mengineyo ya hapa na pale kama transport ,accommodation n.k

Hapigwi mtu.
 
Korosho seasonal

Kuna kagomba wa ajabu sana mkoa wa kusini.
Mtu anapigia maboss walioko dar huko au mikoa mingine kuwaaminisha kuwa korosho mwaka huu ni Big deal kwa sababu uchaguzi upo njiani

Na matokea yake tunaanza kuona wauza korosho kwa reja reja wanakataa bei za 1000 na 1200 .Na kuanza tamaa ya kutaka 1500

Kimahesabu korosho unapoi nunua kwa 1500 mbeleni huko utakuja kuona kama umerogwa au korosho ni biashara isiyo faaaa

Unaponunua korosho kwa 1500 hapo unatakiwa kuelewa kuwa utapata faida kiduchu sana labda kama unanunua tu kuwasaidia wakulima

Maana 1500 hapo utaongeza 200 ya mnunuaji kwa kila kilo moja .Ambapo utakuwa umenunua kwa 1700 .kama tunavyojua korosho sio zao la maana kihivyo na mnada naweza kuwa 2000 kamili au imezidi sana 2200

Hapo lazima wanakata tena kama 200 hivi transport na vitu vingine matokeo yake unakuja kubaki pale pale kwenye 2000 au 1800
Ebdapo mnada utakuwa 2000

Kwa maana hiyo nyie washamba wa korosho mnatakiwa kununua korosho pamoja na ghrama za anaekununulia isizidi 1500 yan
Nunua kilo 1000 tu au 1200 ili kagomba umpe 200 kwa kilo na ww ubaki na chochote kitu.

Narudia tena ukinunua kuanzia 1500 itakula kwako.

Kuna watu wanapigwa sana shoti na makangomba.

Pia tusisahau korosho ni zao la msimu wa miezi miwili mpaka mitatu lakin kuna watu wametoboa kupitia korosho.

LENGO LA UZI WANGU NI HILI HAPA

KWA UZOEFU NILIOKUWA NAO KANDA YA KUSINI NAPENDA KUSEMA KUWA KARIBU KUSINI MSIMU UWE TAJIRI
PIGA SIMU TUFANYE KAZI

UKIWA NA MILIONI 20 NJOO TUNUNUE KOROSHO TUPATE HELA YA KUFANYA MAMBO MENGINE
KOROSHO NI UTAJIRI

nitafanya kifuatacho na hiyo milion 20 yako
Nitachukua 16,000,000 hiyo 4 milion itakuwa back up
1,300 x 12,000 tones =15,600,000
Mnada tone 11,800 hapa natoa kilo 200 za unyaufu
11,800 tone x 1900 price ya mnda 22,400,000

Then
22,400,000-15,600,000=6,800,000

Kisha chukua 6,800,000- 12000(200)=2,400,000
Baki 4,400,000 faida

Hayo ni mahesabu rough tu ila unaweza ukaacha 4 milion hiyo laki 4 ukaiweka kwenye matumizi mengineyo ya hapa na pale kama transport ,accommodation n.k

Kwa maeleoz zaidi kuningia katika hii biashara njoo pm ni muda mdogo sana tunatoboa

Nahitaji mtu serious mmoja tu.

Hapigwi mtu.
kangomba mzoefu tumekusoma
 
Mbona we ndo inaonekana muumizaji mwenyewe..pm tena huku ushatisha watu..we weka tangazo lako bila kubania wengine
Hapa sio muumizaji tunafanya biashara kwa masharti unayotaka ww hakuna janja janja tunaweza hata kwenda kuandikishiana mahakamani au police. PM kama mtu yupo na hamu kubwa ya hiyo biashara. Hapo kuna vitu vingi sijaviweka
 
Msidanganyike biashara ya korosho ilikuwa tamu kwa miaka ya karibuni watu wamekata mitaji Yao bei siku hizi hazieleweki mm mwenyewe Niko shamba navuna korosho na pesa ninayo ila siwezi tia kwenye biashara ya korosho
 
Hapa sio muumizaji tunafanya biashara kwa masharti unayotaka ww hakuna janja janja tunaweza hata kwenda kuandikishiana mahakamani au police. PM kama mtu yupo na hamu kubwa ya hiyo biashara. Hapo kuna vitu vingi sijaviweka
Ok. Sawa me pia nipo kusini lindi hapa we uko wap
 
Siwezi weka hela kwenye hilo zao nilishaunguza pesa nyingi Sana ilibaki kidogo niwe mwehu
 
Nakumbuka kuna kipindi kuna bilionea kutoka Kenya alikuja kununua tani laki tano za korosho sijui alipata hasara maana sijamsikia tena

1000012822.jpg
 
Wakulima wanatakiwa waelimishwe kwamba korosho inategemea bei ya soko la dunia hayo mambo ya uchaguzi ni siasa tu na kudanganyana

tena mikataba ya mazao kimataifa uki fix bei ktk mkataba hakuna kubadilika tena hadi mkataba ukamilike na ni taratibu ndefu mpaka upeleke sample ikubaliwe ndio mfunge mkataba
 
Back
Top Bottom