Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Nyie kuku wangu amejiuwa
je naweza kula kuku aliyekufa maana bado wa moto moto 👀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HongeraaNyie kuku wangu amejiuwa View attachment 3094085je naweza kula kuku aliyekufa maana bado wa moto moto 👀
Nenda polisi kareport sasaNyie kuku wangu amejiuwa View attachment 3094085je naweza kula kuku aliyekufa maana bado wa moto moto 👀
Kwakweli😂😂😂Kunywa supu huyo , Tuliwaambia Mapenzi sio ya kila mtu😅😅😅
Nyie kuku wangu amejiuwa View attachment 3094085je naweza kula kuku aliyekufa maana bado wa moto moto 👀
Nyie kuku wangu amejiuwa View attachment 3094085je naweza kula kuku aliyekufa maana bado wa moto moto 👀
Kumbe tatizo lilianzia apa😂😂😂🤷🏽♂️
Kamejinyonga eti...pole mwenye kukuKakuku kutoka iringa
Inabidi akaisaidie polisi uchunguzi ufanyike.Na Kanjinyogea mlangoni ama dirishani kabisa kwani Kuna kitu labda ulimuudhi mkuu
Hapana Mkuu sijamuudh nazan mapenz ndo chanzoNa Kanjinyogea mlangoni ama dirishani kabisa kwani Kuna kitu labda ulimuudhi mkuu
😂😂R.I.P kuku