Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
HongeraaNyie kuku wangu amejiuwa View attachment 3094085je naweza kula kuku aliyekufa maana bado wa moto moto π
Nenda polisi kareport sasaNyie kuku wangu amejiuwa View attachment 3094085je naweza kula kuku aliyekufa maana bado wa moto moto π
KwakweliπππKunywa supu huyo , Tuliwaambia Mapenzi sio ya kila mtuπ π π
Nyie kuku wangu amejiuwa View attachment 3094085je naweza kula kuku aliyekufa maana bado wa moto moto π
Nyie kuku wangu amejiuwa View attachment 3094085je naweza kula kuku aliyekufa maana bado wa moto moto π
Kumbe tatizo lilianzia apaππππ€·π½ββοΈ
Kamejinyonga eti...pole mwenye kukuKakuku kutoka iringa
Inabidi akaisaidie polisi uchunguzi ufanyike.Na Kanjinyogea mlangoni ama dirishani kabisa kwani Kuna kitu labda ulimuudhi mkuu
Hapana Mkuu sijamuudh nazan mapenz ndo chanzoNa Kanjinyogea mlangoni ama dirishani kabisa kwani Kuna kitu labda ulimuudhi mkuu
ππR.I.P kuku