Mwanaume kujifanya mwanamke,uta.fir.waNikiwa town kwenye mishe zangu,Kuna mahali mchana huwa napenda kwenda kula,wakati natoka Kuna mahali nilipita kwenda kuchukua mkoba wangu
Eeeeh sinikasikia naitwa,kugeuka namuona mbaba mtu mzima ila vaa yake kama wale dereva tours,nyieeeee 😹
Kuna watu wanajua kutongoza,yaani nimejiuliza maswali mengi nakosa majibu,kwanza mbaba wa watu anajiamini hatari😹
Ukweli ni kwamba,mbaba wa watu kawazidi mbali sana Vijana waliowahi nitongoza Kwa Swaga
Vijana jiaminini mnapotongoza,mnatia aibu
Baada ya hapo ikawaje! Ulimtunuku? Moto anajua kupeleka?Nikiwa town kwenye mishe zangu,Kuna mahali mchana huwa napenda kwenda kula,wakati natoka Kuna mahali nilipita kwenda kuchukua mkoba wangu
Eeeeh sinikasikia naitwa,kugeuka namuona mbaba mtu mzima ila vaa yake kama wale dereva tours,nyieeeee 😹
Kuna watu wanajua kutongoza,yaani nimejiuliza maswali mengi nakosa majibu,kwanza mbaba wa watu anajiamini hatari😹
Ukweli ni kwamba,mbaba wa watu kawazidi mbali sana Vijana waliowahi nitongoza Kwa Swaga
Vijana jiaminini mnapotongoza,mnatia aibu
Kihasibu tunaitaje hiyo?Main subject matter: Umelambwa na mzee. Maneno meeengi
Hizo swaga ziandike hapaNikiwa town kwenye mishe zangu,Kuna mahali mchana huwa napenda kwenda kula,wakati natoka Kuna mahali nilipita kwenda kuchukua mkoba wangu