Hahahahaaa LMAOwakuu,kuna baadhi ya hawa watu waliondoka hapa mjini kwa mbwembwe zote,sasa leo wanataka kurudi mjini wanaanza kusumbua watumiwe nauli za kurudi.
usumbufu sitaki asee...nadhani mhusika uko humu,ujumbe ukufikie.
Tena watukome kabisa. Waliondoka kwa mbwembwe ***** zao hawa. Aaaah...! Lakini kwa nini usinikumbushe jana weweeee. Kenge mmoja yuko huko kanibomu twenty nimemtumia. Aaaah...! Saaa hizi ndio unanishtua. Halafu aliondoka kimbwembwe mbayaaa,akaniachia ugwadu kenge huyu. Ungeniambia mapema we jama
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha.mkuu hawa jamaa ni shida, jamaa zangu wawili wananisumbua toka asubuhi.nimemtoa mmoja huyo mwingine nimempotezeaTena watukome kabisa. Waliondoka kwa mbwembwe ***** zao hawa. Aaaah...! Lakini kwa nini usinikumbushe jana weweeee. Kenge mmoja yuko huko kanibomu twenty nimemtumia. Aaaah...! Saaa hizi ndio unanishtua. Halafu aliondoka kimbwembwe mbayaaa,akaniachia ugwadu kenge huyu. Ungeniambia mapema we jama
Sent using Jamii Forums mobile app
kwan walioenda moshi ni wachaga tu mkuu?Post no. 1 to 8 wana CCM kindakinda wakionyesha chuki zao kwa wachaga.
Haya tuendelee.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwan walioenda moshi ni wachaga tu mkuu?
Unafikiri utapata umaarufu wa kijinga kwa style hiyo?wakuu,kuna baadhi ya hawa watu waliondoka hapa mjini kwa mbwembwe zote,sasa leo wanataka kurudi mjini wanaanza kusumbua watumiwe nauli za kurudi.
usumbufu sitaki asee...nadhani mhusika uko humu,ujumbe ukufikie.
Hahahahahaha kumbe zilikuwa mbembwe.wakuu,
kuna baadhi ya hawa watu waliondoka hapa Mjini kwa mbwembwe zote, sasa leo wanataka kurudi Mjini wanaanza kusumbua watumiwe nauli za kurudi.
usumbufu sitaki asee...nadhani mhusika uko humu, ujumbe ukufikie.
Walud??
Nipo mkuu!!