Sifi Leo Platinum Member Joined Mar 30, 2012 Posts 6,408 Reaction score 12,100 Sep 25, 2025 #1 Nasema live nawachukia nyinyi mnao jiita JITOKEZE tena nasema mnikome tafadhali sana staki mazoea na nyinyi Mnaniambia nijitokeze KUPIGA kura wakatinajua hata mlo Mmoja sijala Nina siku ya NNE, alafu nikayachague majizi ya fedha za UMMA ?
Nasema live nawachukia nyinyi mnao jiita JITOKEZE tena nasema mnikome tafadhali sana staki mazoea na nyinyi Mnaniambia nijitokeze KUPIGA kura wakatinajua hata mlo Mmoja sijala Nina siku ya NNE, alafu nikayachague majizi ya fedha za UMMA ?
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 Sep 25, 2025 #2 Labla hiyo njaa ya siku nne ndo inakufanya uwe na kisirani
M Muhimbu JF-Expert Member Joined Nov 7, 2023 Posts 4,001 Reaction score 7,587 Sep 25, 2025 #3 Wapumbavu sana mimi nafanya kazi ya kuwablock kila siku. Na pia kuna TAKO-KURU kila muda nao eti wanajitumisha meseji ya kuhusu kutopokea rushwa kwa wagombea sijui linda kura yako usiyiuze....sasa kura gan mimi ninauza? ******* kweli
Wapumbavu sana mimi nafanya kazi ya kuwablock kila siku. Na pia kuna TAKO-KURU kila muda nao eti wanajitumisha meseji ya kuhusu kutopokea rushwa kwa wagombea sijui linda kura yako usiyiuze....sasa kura gan mimi ninauza? ******* kweli
Espy_ JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 91,958 Reaction score 183,574 Sep 25, 2025 #4 Nami wanikome.