Nyie mnaojiita "celebrities"watu maarufu hapa bongo hacheni dharau kwa ma FANS

Winnie227

Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
86
Reaction score
41
Dah jamani hapa mimi naweka mambo hadharani sio personal or chuki binafsi bali ni personal experience nilizokutana nazo nilivyomeet na hawa watu ambao tunawaita "celebrities" kwa hapa Tanzania.

Jamani hivi hapa nyumbani kuna ulimbukeni..hivi hawa watu maarufu wanajua kuwa kama sio mimi,wewe,na yule na sisi na wale wasingekuwa na huo umaarufu ? some act kama vile fans ndo wanashida sana or kama vile basi fans wanatakiwa wajipendekeze kwao.

Huu ni ushamba uliozidi kipimo..hawajifunzi nanwenzetu- kwenye nchi tajiri..wengi wao hata kama wametoka ghetto still wana Respect fans kwani bila fans they know they aint shit.
 
Mbona husemi wamekufanya nini au wamefanya nini
 

Umewashobokea wakakupotezea..punguza shobo msshamba wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…