Nyie mnaojiita wasomi wa JF.........

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,136
Reaction score
32,268
...kwa nini mnatubeza sisi wenye elimu ndogo??

....Elimu yako inamlisha nani huku JF???

...mna dharau kisa kuingia madarasa,,,,,?

..wapuuzi nyie,hamjui hayo madarasa,ni majengo tu mliingia....

...kama unabisha,uliza wana JF ,hapa,what is physics?...kama utapata majibu ya moja kwa moja????.....na kama ukipata,wote watatoa sentesi moja inayofanana kwa watu wote..as mfumo wetu wa elimu upo sio mwanafunzi kuwa mwelewa,as because the system encourage creaming....

nishavurugwa,😑😑😑😑😑😑😑😑😑
 
Maoni yako yatoe kwa njia za staha...kinyume cha hapo yatakuwa ni upuuzi mtupu si kila mmoja hapa unalingana naye kiumri
Nachukua hatua ya kukushtaki kwa Moderator hapa hapa kwa hatua zaidi za kinidhamu
 
mmmnh report,mie hunibabaishi
 
Ni kweli kabisa siwezi kukubabaisha ndio maana nikakupa angalizo

ungereport moja moja ungeonyesha heshima yako ila kujiweka hapo kati km ni wewe ndio umereport,inaonyesha ulitaka tu kuninyanyasa......mkuu,no one is going to bully me...
 
ungereport moja moja ungeonyesha heshima yako ila kujiweka hapo kati km ni wewe ndio umereport,inaonyesha ulitaka tu kuninyanyasa......mkuu,no one is going to bully me...
Hii ni tafsiri yako mimi nimefanya kwa mtazamo wangu...si jambo jema kuwaita watu wapuuzi ambao huwafahamu
 
I see "creaming"
 
Hii ni tafsiri yako mimi nimefanya kwa mtazamo wangu...si jambo jema kuwaita watu wapuuzi ambao huwafahamu

hii ni tafsiri yangu,au ndio ukweli halisi????kisha move mkuu,sikutaka beef humu,usijazie mashudu humu.......I hope you wont reply after this post....TO THE LEFT plz
 
hii ni tafsiri yangu,au ndio ukweli halisi????kisha move mkuu,sikutaka beef humu,usijazie mashudu humu.......I hope you wont reply after this post....TO THE LEFT plz
Kwahiyo unataka kunipa limitations?
 
wewe naona una personal vendetta na mie,kila mada yangu upo,GET A LIFE,YOU LOW LIFE SUCKER!
Usilete kashfa wee bado sana waulize wanaonijua hii ni namba nyingine Anglia jichunge nskutahadharisha utaishia hospital nikikupa mawili tuu...usicheze ngoma usihoijua
 
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

embu tutolee ujinga wako hapa si mmeambiwa elimu bure washindwa vipi kusoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…