Nyie mnaojiita wasomi wa JF.........

Hahaaa usinichekeshe, kumbe unayajua Hayo mafuta?Makonda kakataza mtakoma wewe na wenzio itabidi mtumie mafuta ya kupikia.
Ukimaliza kucheka andaa robolita mimi huku nshautia kasi
 
Sijajua lengo la kuniparamia ni nini,nahisi ni moja ya vishtobe nilivyowanwaga... Pole sana Rebeca is here to STAY, subiri kuugulia km Una ona kichefu chefu kuniona
 
Jamani ameshasema kavurugwa na nyinyi mnaejibishana nae mmevurugwa??? na we mtoa mada ukion bwana wako kakutema maliza huko huko hapa uje na heshima ingawa Nina miaka 30 sijui we we.
 
Kama umevurugwa ni ww ndio umevurugwa ulipaswa kumshukia live aliyekuvuruga.

Sasa ww unakuja kutema uozo hapa utafikir changudoa kadhulumiwa pesa yake baada ya kupigwa mande..

Hizi ID zilizoanza juzi hizi zmeharibu sana hiki kijiwe ..
.....
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama umevurugwa ni ww ndio umevurugwa ulipaswa kumshukia live aliyekuvuruga.

Sasa ww unakuja kutema uozo hapa utafikir changudoa kadhulumiwa pesa yake baada ya kupigwa mande..

Hizi ID zilizoanza juzi hizi zmeharibu sana hiki kijiwe ..
.....
 
Kama umevurugwa ni ww ndio umevurugwa ulipaswa kumshukia live aliyekuvuruga.

Sasa ww unakuja kutema uozo hapa utafikir changudoa kadhulumiwa pesa yake baada ya kupigwa mande..

Hizi ID zilizoanza juzi hizi zmeharibu sana hiki kijiwe ..
.....
jf newcomers oyeee...si mkubali mmnh
 
Kama umevurugwa ni ww ndio umevurugwa ulipaswa kumshukia live aliyekuvuruga.

Sasa ww unakuja kutema uozo hapa utafikir changudoa kadhulumiwa pesa yake baada ya kupigwa mande..

Hizi ID zilizoanza juzi hizi zmeharibu sana hiki kijiwe ..
.....
Kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…