We Andunje acha umbea.....KF ni ya kijanjaHii ungeipeleka kule MAKAPUKU FORUM.
Ila umekosea sana kuhisi kuwa kwakuwa mtu ameweka kigezo cha degree basi anawadharau wasio na degree.nimesukumwa na jukwaa la love connect,kuona kila mtu anayetafuta mchumba anatanguliza kwanza degree kama kigezo....
Rebbie huyooooo!!![emoji23] [emoji23]mmmnh report,mie hunibabaishi
Ila umekosea sana kuhisi kuwa kwakuwa mtu ameweka kigezo cha degree basi anawadharau wasio na degree.
Mi naamini kila mtu ana vigezo vyake. Je, angeweka kigezo cha 'Master' ungekuwa na hasira kiasi gani??
Sio wote wanaweka vigezo vya elimu ya juu na sio lazima wewe ukidhi vigezo vya kila mtu. Kumbuka hilo.
Dah.....vipi tena? au vyombo vilikuwa vingi? [emoji12] [emoji12]mmmnh report,mie hunibabaishi
Acha kujifarihi. We nani alikwambia ukimbie umande?...kwa nini mnatubeza sisi wenye elimu ndogo??
....Elimu yako inamlisha nani huku JF???
...mna dharau kisa kuingia madarasa,,,,,?
..wapuuzi nyie,hamjui hayo madarasa,ni majengo tu mliingia....
...kama unabisha,uliza wana JF ,hapa,what is physics?...kama utapata majibu ya moja kwa moja????.....na kama ukipata,wote watatoa sentesi moja inayofanana kwa watu wote..as mfumo wetu wa elimu upo sio mwanafunzi kuwa mwelewa,as because the system encourage creaming....
nishavurugwa,π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘
Dah... Kumbe kuna degree ya ndoa? [emoji15] [emoji15]Thanks,
mods naomba muiedit hii topic au km mnaona haifai muifute,sikutaka kabisa matusi humu yajae,na nimesukumwa na jukwaa la love connect,kuona kila mtu anayetafuta mchumba anatanguliza kwanza degree kama kigezo....
Dah... Wewe humjui huyu profesa...hukohuko uliko ....utavimbishwa tumbo na mdomo ....kisha usinyaishwe makalio ili uzidi kukosa vigezo zaidi. Shauri lako [emoji12] [emoji124]YES,GO AWAY
Dah..wamekuparamia?[emoji15] [emoji15]Sijajua lengo la kuniparamia ni nini,nahisi ni moja ya vishtobe nilivyowanwaga... Pole sana Rebeca is here to STAY, subiri kuugulia km Una ona kichefu chefu kuniona
Dah...kule kwenye nzi?[emoji4]Hii ungeipeleka kule MAKAPUKU FORUM.
Nimejibu huku nakemea hahaaa, yeye na mzizi mkavu na rakims nawaogopa sana ... Yaani ulivyosema ndio nikajua siko Peke yangu ninaewaogopa [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] hahaaaDah... Wewe humjui huyu profesa...hukohuko uliko ....utavimbishwa tumbo na mdomo ....kisha usinyaishwe makalio ili uzidi kukosa vigezo zaidi. Shauri lako [emoji12] [emoji124]
Pole kwa kuvurugwa na watu wanaohisi hawana shule kila wasomapo post za JF Love connect zenye vigezo vya degree....kwa nini mnaTUbeza SISI wenye elimu ndogo??
NISHAVURUGWA,π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘
mkuu mie sitafuti mtu humu,ila WOTE wanaume na wanawake ,weka kama week uwe unaangalia love connect,utaobserve hiki nilichoandika, kila mtu anataka mtu msomi,aidha mtu kusema kule anamuhitaji mtu mwenye degree,sio kosa ni choice yake,ila km majority wakiwa hivyo hivyo unaanza kuhisi inadequately kama huna shule.................(SIO MIMI LAKINI)
Kuna mmoja kanisaidia hilo neno bila kunibeza,kwa heri na kizungu chako, unasema ni mimi nimewaita wasomi Wanjamii,na siio kwamba wao wamenifanya ni feel inferior wakati mwenyewe unanibeza kwa kiingereza changu mnh learn to practise what you preachcreaming ndio nini sasa? kama huna uhakika na neno ni vizuri ukagoogle, kuna dictionary za kutosha online, au tumia kiswahili tu utaeleweka kuliko kujifanya mzungu unamwaga sentensi zina grammar mbovu, spelling mbovu.
Alafu Rebeca, shida ni nini? hakuna mtu anayejiita msomi JF, hiyo title umewapa wewe baada ya kuona wanakupita kielimu, sio kitu kibaya, na mtu anayekupita hajakariri tu, wewe unaona mtu kumaliza degree kama kaingia kwenye majengo tu na kutoka ndio maana unauliza swali la kipuuzi "what is physics" hehehe kati ya maswali yote kwa nini umechagua hilo?
Stop this madness, ipo siku utakuja kureflect ulichofanya au post kama hii ilisaidia nini, utaona ulikua unapoteza muda tu, utatamani sana kuifuta ila kumbuka JF hakuna delete button ya post, utaishia kufungua account mpya tu.