Kuna mmoja kanisaidia hilo neno bila kunibeza,kwa heri na kizungu chako, unasema ni mimi nimewaita wasomi Wanjamii,na siio kwamba wao wamenifanya ni feel inferior wakati mwenyewe unanibeza kwa kiingereza changu mnh learn to practise what you preach
Sina muda kubishana na wewe, ila ushauri tu, achana na hii inferior complex, usichukie mtu kwa kua kakupita kitu fulani, instead chukulia kama challenge ya kukufanya ujaribu kua a better version of yourself. Ukishindana na watu utashindwa tu kwa kua siku zote lazima kutakua na mtu ambaye anakuzidi kitu fulani. Ngoja nisepe na kizungu changu.