Nyie mnaokurupuka na kuanzisha thread zinazotuchanganya kuhusu HESLB, hamuwezi kutulia?

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
2,133
Reaction score
661
Mi nadhani ifike mahali watu watumie akili, mtu unakurupuka na kuanzisha thread yako ya ajabuajabu tu. Kwanini msitulie na kungoja hadi HESLB watoe wenyewe? Au mnataka tujue kwamba nyie ni vibaraka wa HESLB?

Ingekuwa vyema kama MODS mngewachukulia hatua wale wanaoanzisha thread zao zinazoshusha hadhi ya jukwaa hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…